→ Felister Mayige Richard
→ Menu

Felister Mayige Richard

Sports Lady Felister Mayige Richard ni miongoni mwa watangazji wachache wa kike kama si pekee Tanzania. Mwenyeji wa Kishapu mkoani Shinyanga  aliyezaliwa mwaka 1988 na kupata elimu ya msingi katika shule ya msingi Mwandoya.
Mwaka 2007 alihitimu elimu ya sekondari katika shule ya RUVU Sekondari  iliyopo Mlandizi-Kibaha mkoani Pwani na baadaye Shinyanga Vijana Centre(SVC) kabla ya kuchukua kozi ya uandishi wa habari na utangazazi katika chuo cha Dar esSalaam School Of Journalism(DSJ).