→ Festus Mbiya Pangani
→ Menu

Festus Mbiya Pangani

Festus Mbiya Pangani, muandaaji wa vipindi vya elimu kwa jamii katika kituo cha redio cha Best Fm yeye alizaliwa mwaka 1983 katika kisiwa cha kamasi wilayani  Ukerewe mkoani Mwanza.
Alihitimu shule ya msingi Igaga iliyopo Kwimba mkoani mwanza mwaka  2001 na kujiunga na shule ya sekondari ya Imalilo huko Kwimba mkoani mwanza na baadaye kujiunga na chuo cha Royal Prince College Of Journalism Sengerema mkoani Mwanza. Mbali na vipindi vya elimu kwa jamii pia Pangani ni Mhariri wa habari na licha ya Best Fm kuwa Ludewa lakini Pangani kituo chake cha kazi ni Njombe.