→ Griady George Danda aka G Cleaf
→ Menu

Griady George Danda aka G Cleaf

Griady George Danda aka G Cleaf anapenda sana kufuatilia hadithi za watu mashuhuri duniani, mpira wa miguu, Playstation pamoja na muziki lakini kwa taaluma yeye ni mtayarishaji wa vipindi mbalimbali (Producer) na pia ni Dj.
Alizaliwa mwaka 1987 na kupata elimu ya msingi katika shule ya msingi Buguruni iliyopo jijini Dar es Salaam, elimu ya sekondari alipata katika shule ya sekondari Wende baadaye chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Dar esSalaam School Of Journalism.