→ Nickson Mahundi
→ Menu

Nickson Mahundi

kitaalum yeye ni mtaalam wa masuala ya habari, utamaduni pamoja na michezo pia ni mshauri nasaha na mwanasaikolojia katika masuala ya watu waishio na virusi vya ukimwi na watoto yatima.
Alizaliwa mwaka 1980 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na elimu ya msingi alisoma katika shule ya Ludewa Mjini iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe baadaye kuhitimu elimu ya sekondari mwaka 2002 katika shule ya sekondari Ludewa. Anapendelea michezo kwa ujumla.