→ Pamella Peniel Lyatuu
→ Menu

Pamella Peniel Lyatuu

kwa wapenda vidole juu(Taarab) huyu ndio muhusika haswa katika kipindi cha Muziki wa Taarab kupitia 90.5 Best Fm Ludewa.
Alizaliwa mwaka 1988 mjini Arusha na kupata elimu yale ya msingi katika shule ya msingi Muungano kabla ya kujiunga na shule ya sekondari Mawenzi.
Alipata mafunzo ya uandishi wa habari na utangazaji katika chuo cha East Africa Training Instistute kilichopo mkoani Arusha na sasa ni mmoja wa mhimili katika kikosi cha Best Fm na unaweza kumpata pia katika kipindi cha LIFE STYLE.